Swala moja tatanishi, latia chungu moyoni, Wali wa daku upishi, utu uso madhumuni, Dira hatuna waashi, kupoteza ‘tamaduni, Jengo letu ‘tamaduni, tazama laporomoka! Tazama laporomoka,hatuna ustaarabu, Vipusa twajianika, kwa kujitia…